MARILYN
Member
- Feb 23, 2011
- 96
- 15
ni eneo la eka mbili pembezoni mwa barabara ya kuelekea mpiji lina nyumba kubwa(bungalow) yenye vyumba sita vya kulala, (viwili master na vinne kawaida) sitting room kubwa dinning na jiko kubwa pamoja na store na chumba cha kupigia pasi. eneo linafaa kwa biashara pia na limeshapimwa na lina hati na documents zote muhimu. nyumba bado haijakamilika ila iko kwenye hatua za mwisho, imeshawekwa roof na madirisha bado kupiga lipu nje na milango na floor ina vyumba viwili underground(erosion), USIHOFU KUHUSU BARABARA BEACONS MPYA ZIMEWEKWA NA ZINAONEKANA VIZURI TU
bei ni millioni 370
bei ni millioni 370