falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,230
- 9,359
Hawaendi kutatua, wanaenda kuanzisha na kuendeleza migogoro. Kama Shetani vileSasa mbona wanaenda nchi za wengine kutatua migogoro.......wakati wanayo ya kwao......
sidhani kama kutakuwa na mambo hayo na watakuelewa, kurogana hakuna ukizingua unakula shaba polis wanakuja kuzoa mzoga wako, hawana mambo ya waganganikikosa mchongo wa unabii, nakuwa mpiga ramli fortune teller
Nina kinga ya kukukinga Na risasi, karibu sanasidhani kama kutakuwa na mambo hayo na watakuelewa, kurogana hakuna ukizingua unakula shaba polis wanakuja kuzoa mzoga wako, hawana mambo ya waganga
yes you are rightUkimsikiliza Akon Kwenye Ghetto na Kutazama Video yake Kaonyesha hiyo Mitaa hapo New Jersey.
hizo ni imani za afrika tuNina kinga ya kukukinga Na risasi, karibu sana
karibia mikoa yoteIla hapo mnapoita masikini kuzuri kuliko makao makuu ya mikoa mingi tu TZ
Tuna test risasi kwangu ndio tunamuuzia mteja dawa ya kinga dhidi ya risasihizo ni imani za afrika tu