PANZI DUME
Senior Member
- Jan 20, 2018
- 173
- 157
Eneo lipo Pangani,Kibaha Barabara yaTamco Mapinga, Umbali WA km 5 kutoka stendi Mpya ya mabasi,eneo lipo jirani na kiwanda cha Mchina Eneo lina ukubwa wa m22x20,bei ni milioni 4, ni eneo linaloendelea Kwa kasi,nguzo ya umeme ipo jirani.
Mawasiliano 0713203222/0754736312
Mawasiliano 0713203222/0754736312