Dr. Zaganza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 1,350
- 2,054
Habari wakuu.
Ninauza eneo lenye sifa zifuatazo:
Ukubwa: Ekari tatu
Lilipo :Morogoro, Dakika 20 kwa gari toka stendi ya Msamvu kwa barabara ya Dodoma
Jina :Kijiji cha maji chumvi kupita kihonda
Hati :Inafuatiliwa
Bei :Laki tano kwa kila heka.
Mazingira: Kuna kisima cha maji jirani na kiwanda cha kusindika nyama.
Mawasiliano:0713-039875 au 0784-976570