Eneo linauzwa kiromo bagamoyo

Eneo linauzwa kiromo bagamoyo

Kurunzi

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
10,196
Reaction score
11,623
Eneo la sqm 800 linauzwa maeneo ya Kiromo shule karibu na barabara ya kwenda bagamoyo mita 250 hivi, maji na umeme upo/yapo mita 10 toka kwenye kiwanja hakina matatizo ya umiliki hakina hati utajiridhisha Ardhi kabla ya makubaliano ya kununua bei tsh 8,600,000 mazungumzo yapo kwa mnunuaji aliye serius tu.

Ukitaka nusu unkatiwa kwa 4,500,000.
Ni eneo tambarare.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom