Eneo linauzwa Kibaha kwa Mathias Kidenge

Eneo linauzwa Kibaha kwa Mathias Kidenge

Abraham Moshi

Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
20
Reaction score
8
Eneo la hekari mbili linauzwa Kibaha kwa Mathias Kidenge njia ya kwenda Msangani kuna maji na umeme upo karibu, barabara inafika mpaka kwenye eneo. Lina miembe miwili, minazi mitano, michungwa miwili. Linapakana na kanisa Katoliki kigango cha Nyumbu kilomita 5 kutoka barabara ya Morogoro kuelekea msangani Bei 60,000,000/=




 
Sijui macho yangu hayaoni vizuri hizo tarakimu, hebu andika hiyo bei kwa maneno labda ndio nitaamini dah!
 
ingawa kwenye kamera iliyookotwa umefanya vizuri lakini hapa umefanya mbaya.
 
ebu eleza vizuri unapita kwa mzee mkude?na je usiwe unauza shamba la meja!
 
eka 2 kwa mathias now days 60,000,000/=!!!!!!!!!!!! aiseeeee
 
Ndugu yangu acha tamaa hilo eneo lako hata pale kwa Filbert Bay hupati kwa gharama hiyo, Juzi tu nimetoka kulipia eneo la zaidi ya hekari moja na nusu maeneo ya Jamaica kwa 10,000,000/= tu
 
Hivi hizi bei zinazowekwa huku watu wako serious au mnajiandikia tu? maana naona bei za ajabu ajabu zinazidi sasa!!!
 
Mitaa ya huko kunaonekana kama kuna wanga sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom