Eneo la Kuwekeza

Eneo la Kuwekeza

Habari ya Mujini

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2013
Posts
2,518
Reaction score
1,046
Wana jamvi,,natafuta muwekezaji au mnunuzi wa eneo la hekari 30 lipo Chanika.Eneo limepimwa na linamilikiwa kihali,lipo jirani na barabara karibu na soko la Chanika..!
 
Hekari ni sawa na eka

Soko la chanika liko eneo gani mkuu, au ni unaingilia kona Mvuti na Msumbiji?
 
Wana jamvi,,natafuta muwekezaji au mnunuzi wa eneo la hekari 30 lipo Chanika.Eneo limepimwa na linamilikiwa kihali,lipo jirani na barabara karibu na soko la Chanika..!

Sasa ndugu yangu ungekuwa Wewe ndio mnunuzi halafu unakutana na tangazo kama lako hili utajisikiaje?

Weka bei na namba zako za simu
 
Sasa ndugu yangu ungekuwa Wewe ndio mnunuzi halafu unakutana na tangazo kama lako hili utajisikiaje?

Weka bei na namba zako za simu

Mkuu ukiwa interested kama ivi si ndo mawasiliano yanpatikana...0716309845
 
Kuhusu bei na maelezo zaidi tuwasiliane kwa namba hiyo...!
 
Back
Top Bottom