Freedom tommorrow
JF-Expert Member
- Jan 31, 2015
- 1,795
- 1,132
chukua million nne kwa kila heka moja nichukue heka zote
kama unataka ekari nyingi mkuu kuna ekari 20 zipo km15 kutoka tumbi hospitali kila eka ni one mil
gari inafika wakati wote kama kauwezo kadogo sio lazima ununue zote
unapewa kiasi chochote unachoweza
hapana mkuu milioni 6 nilikataa kwa hiyo bei ningeshauza zamani. Kwa ufupi ngoja nikupe faida ya eneo lenyewe. Wengi ninaopakana nao wameuza MAeneo yao kwa muhindi mmoja nafikiri unaweza kumfahamu. Amechukua maeneo karibia yote ya karibu na bahari kasoro watu 3 ambao hatujakubari kumuuzia yeye. Mimi ninazo heka 8 nataka kuuza heka 4 tu nibakie na nne. natangaza hapa biashara sipendi eneo lote lichukuliwe na wao.
Kibaha sehemu gani?kama unataka ekari nyingi mkuu kuna ekari 20 zipo km15 kutoka tumbi hospitali kila eka ni one mil
gari inafika wakati wote kama kauwezo kadogo sio lazima ununue zote
unapewa kiasi chochote unachoweza
hongera kwa kukataa milioni 6, siku ukiikumbuka na kuijutia hiyo milioni 6 nicheki pm nitanunua kwa 4m kila ekari
nb: 5m - 7m unapata ekari moja gezaulole ambayo ipo karibu zaidi na feri au mwongozo ambayo ipo karibu zaidi na mradi wa nssf kuliko hapo mwembe mdogo ambapo eneo lako lipo.
Si kwa ubaya lakini. Kila la kheri
kama unataka ekari nyingi mkuu kuna ekari 20 zipo km15 kutoka tumbi hospitali kila eka ni one mil
gari inafika wakati wote kama kauwezo kadogo sio lazima ununue zote
unapewa kiasi chochote unachoweza