Eneo la heka 15 linauzwa

Eneo la heka 15 linauzwa

Akiri

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,445
Reaction score
217
Eneo lipo sehemu nzuri linafikika kirahisi , na ndani ya kuna nyumba 2 zimejengwa eneo lipo kisarawe mkoani Pwani. bei ni Tsh. 100,000,000. kwa anayetaka tuwasiliane 0657 14 5555, 0755 099 291 na 0686 200117. kwa yoyote anayetaka shamba, au eneo la kujenga shule , chuo au kituo cha mafuta pia tuwasiliane
 
mbali na eneo hilo kuna maeneo mengi ya mashamba , vituo vya mafuta na shule au chuo, na yote yamepimwa na yapo sehemu sahihi kwa matumizi sahihi. pia kuna heka 110 kiruva na heka 247 bagamoyo maeneo yote yanafikika kiurahisi na umeme na maji vipo.
 
Miye nataka chalinze mzee sema eka bei gani? Kule karibu na kwa Kikwete
 
Miye nataka chalinze mzee sema eka bei gani? Kule karibu na kwa Kikwete

unataka heka ngapi? na nilazima iwe jirani na Mheshimiwa Rais au sehemu yoyote pale chalinze?
 
unataka heka ngapi? na nilazima iwe jirani na Mheshimiwa Rais au sehemu yoyote pale chalinze?

Upande wa kushoto kama unaenda Arusha, siyo lazima iwe karibu na pale. Idadi ya eka itategemea bei...
 
Aridhi bado ipo, kwa anayetaka shamba , au sehemu ya kujenga nyumba au biashara tuwasiliane, pia kwa anayetaka kujenga shule au chuo , tuwasiliane. karibuni
 
Back
Top Bottom