Lipo vikawe (Wilaya ya Kibaha) karibu kabisa na barabara inayotarajiwa kujengwa siku za karibuni kuunganisha barabara za Morogoro na Bagamoyo. Bomba kubwa la maji litapita karibu na na hapo. Eneo kwa ajili ya kupitisha miundo mbinu hiyo (bomba la maji na barabara) limeshatwaliwa. Kwa sasa ipo barabara ya vumbi (kokoto) inayounganisha Barabara za Morogoro (Kibaha Stamico) na Bagamoyo (Shule ya Baobab). Ukitokea shule ya Baobab eneo lipo umbali wa kilometa 8 kutoka barabara ya Bagamoyo. Mchakato wa kulitafutia hati eneo hilo umeshaanza, kwa hiyo mnunuzi atapewa hati pia. Kwa mawasiliano piga 0767540552.