Eneo la Car Wash Tegeta, Boko

Pagan Amum

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
1,932
4,400
Natafuta eneo ninaloweza kukodi na kufanya Car Wash kwa Tegeta na Boko.... Tafadhali sana tuwasiliane kama unalo...

Asante
 
Natafuta eneo ninaloweza kukodi na kufanya Car Wash kwa Tegeta na Boko.... Tafadhali sana tuwasiliane kama unalo...

Asante
usipende kuleta mipango yako kwenye forums , utaibiwa hio idea yako hayaaa

Leo unauliza mtu humu baada ya siku kadhaa unakuta sehemu ile ile uliowaza kufungua car wash wajanja washafungua .
 
Back
Top Bottom