Eneo la Biashara: Kimara - Mbezi

Mdogo ake the BOLD

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2018
Posts
559
Reaction score
1,007
Habarini wakuu

Mapambano ya kulijenga taifa yanaendelea...

Naleta kwenu ombi la kupata eneo la kujenga mashine kwa ajili ya kusaga na kukoboa katika maeneo tajwa hapo juu yaani kuanzia Kimara mpaka Mbezi eneo ambalo linatakiwa ni liwe karibu na barabara au eneo lililochangamka...linatakiwa eneo la wastani tu.

Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…