teachers' junction Senior Member Joined Dec 5, 2013 Posts 122 Reaction score 9 Jan 2, 2014 #1 Habari za mwaka mpya wa jf. Natafuta nyumba au jengo lilokuwa shule kwa ajili ya kuanzia shule ya Awali na Msingi. iwe jijini Dar. +255753-810857
Habari za mwaka mpya wa jf. Natafuta nyumba au jengo lilokuwa shule kwa ajili ya kuanzia shule ya Awali na Msingi. iwe jijini Dar. +255753-810857
IPILIMO JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 1,819 Reaction score 802 Jan 2, 2014 #2 teachers‘ junction;8256439 said: habari za mwaka mpya wa jf. Natafuta nyumba au jengo lilokuwa shule kwa ajili ya kuanzia shule ya awali na msingi. Iwe jijini dar. +255753-810857 Click to expand... project/business plan ya hiyo shule unayo? Ni vema ukawa nayo au kama vipi tupe kazi tukuundalie, ndani yake ndio tutapendekeza na school location yake na upatikanaji wake, kisha kuprocess usajili na mengineyo. (just a proposal to work on behalf)
teachers‘ junction;8256439 said: habari za mwaka mpya wa jf. Natafuta nyumba au jengo lilokuwa shule kwa ajili ya kuanzia shule ya awali na msingi. Iwe jijini dar. +255753-810857 Click to expand... project/business plan ya hiyo shule unayo? Ni vema ukawa nayo au kama vipi tupe kazi tukuundalie, ndani yake ndio tutapendekeza na school location yake na upatikanaji wake, kisha kuprocess usajili na mengineyo. (just a proposal to work on behalf)