Eneo heka moja linauzwa kiserian-moshono arusha.

Eneo heka moja linauzwa kiserian-moshono arusha.

NB: Hili eneo lina hati ya kijiji tu na pia lina njia yake yenyewe ya kujitegemea.
 
Wakuu hili eneo bado lipo kwanaohitaji wanicheki kwa pm
 
NB: Hili eneo lina hati ya kijiji tu na pia lina njia yake yenyewe ya kujitegemea.

Kiserian sehemu gani ukitoka pale kona ya st Monica?
halipo kwenye hifadhi ya jeshi mkuu?
 
Kiserian sehemu gani ukitoka pale kona ya st Monica?
halipo kwenye hifadhi ya jeshi mkuu?

Mkuu halipo kwenye eneo la jeshi.. unapita pale kiserian mjini kidogo tu unakata kulia. Ni eneo zuri sana na lina barabara yake ya kuingilia..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom