Migomba
JF-Expert Member
- Nov 30, 2013
- 945
- 1,339
Kiwanja kinauzwa vikindu jirani na chuo kikuu kipya St. Augustine.(about 800 kutoka chuo) Kina ukubwa ekari moja bei 15m. Kamata fursa hii kwani wengi hawafahamu kuwa kuna university inakaribia kufunguliwa Vikindu, na bei za viwanja zinapanda kwa kasi.