Endeleeni kutafuta nguvu za kiume

Hahahahaha....Tangia mwaka juzi umri wake hauongezek tuuu???. Me natafuta nguvu za kiume ili nitotoleshe kama hao wa kutosha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sema mkono ushakutupa mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Unaweza kuwa na machine kubwa alafu inakuwa aina nguvu, tatizo naona lipo kwenye nguvu za kiume na sio ukubwa wa muhogo, au nimekosea wakuu?
Sidhani kama umekosea mkuu, ila nahisi unajipa moyo Hahaha
 
Kila mtu na kipaumbele chake, tusipangiane maisha
 
Ukubwa au udogo wa muhogo ni comparative mzee. Hata uwe nalo kama mtwangio lakini ukikutana na mwenye bwawa la kufugia kambale, bado utaonekana una kibamia tu.
Bwawa la kufugia kambale!Mmmmh!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…