Nshomile wa Muleba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2015
- 2,167
- 5,557
*Wema Sepenga.
*Irene Uwoya.
*Jackline Wolper.
*Kajala.
*Lulu Michael
N.k
Kama unadhani ni bongo movie ndiyo inawaweka mjini basi nenda na wewe kaigize uwone kama utatiboa.
Wote hawa Wana sura na shepu za mauzo ndiyo maana wapo mjini na maisha yanaenda
we nawe mpumbavu kumbe?
sasa hao uliowataja ni matajiri kumbe wewe ni kiazi kabisa.
Huyo lulu michael si kaolewa na majizzo na hapo majizzo kamsainisha karatasi kwamba wakiachana hachukui hata 100 mbovu na NI MKE WA MTU.
huyo uwoya ana crown emu toka hapo kwa shemeji yako usogee barabarani uhesabu zinapita crown ngapi kila baada ya dakika2
Au huko najilinji chitohori??
Hovyooooo