UMASIKINI BWANA
JF-Expert Member
- Oct 17, 2013
- 942
- 567
This is serious tatizo suggestion box haziaminiki hasa pindi unapoweka maoni yako sio siri tena nimeamua kuweka hapa ili asome hapa namjua aliyefanya hivi shida zake zinamtuma vibayaMkuu kama uko serious peleka taarifa polisi...na intake kabisa..kuleta taarifa huku bilateral ya kumtaja ni kazi bure!!
Toa taarifa polisi mkuu...maisha ya watu yako hatiani, kama huwezi mtaje hapa jina na sehemu ya kazi atashughulikiwa!This is serious tatizo suggestion box haziaminiki hasa pindi unapoweka maoni yako sio siri tena nimeamua kuweka hapa ili asome hapa namjua aliyefanya hivi shida zake zinamtuma vibaya
Kama lipo hilo tatizo huyo mtu anastahili adhabu.Hi wana JF
Hili niandikalo ni jiwe gizani na mhusika namfahamu yupo JF atasoma thread hii. Amekuwa na tabia ya kuchoma wagonjwa maji badala ya dawa ili auze dawa. Mungu anakuona siku zako zinahesabika subiri jua likuwakie utosini[emoji35] [emoji35] [emoji35]
Bora umemwambiaMkuu kama uko serious peleka taarifa polisi...na intake kabisa..kuleta taarifa huku bilateral ya kumtaja ni kazi bure!!
Nashangaa eti anakuja huku kumwonya..na wala hamtajiKwa mambo serious kama haya unatakiwa kutoa taarifa sehemu husika.
Itakuwa ni majungu siyo kweliNashangaa eti anakuja huku kumwonya..na wala hamtaji
Km yupo mtaje tumjue ukimficha hatoacha..ht mh raisi keshasema ukiona ttz cio unarudi nyumaHi wana JF
Hili niandikalo ni jiwe gizani na mhusika namfahamu yupo JF atasoma thread hii. Amekuwa na tabia ya kuchoma wagonjwa maji badala ya dawa ili auze dawa. Mungu anakuona siku zako zinahesabika subiri jua likuwakie utosini[emoji35] [emoji35] [emoji35]