Endapo nikaziona Video za Diamond akijiunga freemason, sitashabikia mziki wake tena

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,846
5,057
Leo akizungumza Kanisani, mchungaji Gwajima amesema amemsamehe Msanii Wa mziki nchini Diamond na kuongeza kuwa kama so kuomba msamaha alipanga kumuumbua juu ya namna alivyojiunga, wapi na tarehe aliyojiunga chama cha Freemason. pia ameeleza atatoa video zinazomuonesha pindi akijiunga na harakati zingine.

ikitokea hivi basi diamond nitakukimbia na sitakuwa mshabiki Wa mziki wako tena
 
Back
Top Bottom