Endapo nikaziona Video za Diamond akijiunga freemason, sitashabikia mziki wake tena

Huyu Gwajima ni muongo Hana hata aibu kutumia nyumba ya Mungu kudestroy vitoto vidogo ambao tumewaona wanafanya kazi kwa bidii usiku na
Mchana
Du Huyu Ghost ambaye amevaa ngozi ya kondoo
Nilimshtukia tangia issue ya Bashite. Even though sikubaliani na Bashite kudanganya kwenye vyeti Lkn Huyu Gwajima ni no no
 
Ndiyo maana aliwahi kuomba msamaha mapema, ila sasa nyota imefubaa sijui maana hali yake mbaya...
HALI YAKE MBAYA NA ANAMILIKI ZAIDI YA 4M U.S.D SS WW ENDELEA KUSHABIKIA HALI MBAYA ZA WA2 NA NI MATAJIRI WA KUTUPWA PIGA KAZI ACHA USHABIKI WA KIJINGA
 
Mkuu hik
Gwajima Kiukweli Kawashika akili wajinga du!!
Hivi utamjuaje Frmsn wewe ukiwa si frmsn!!

Huu uhuni Ni wapuuzi utawaingia akilini
Mkuu hiki ulichouliza kilishawahi kuongelewa na mwanasiasa mmoja ambaye inasadikika na yy yumo tena hapahapa tanzania ss ukijaribu kuwaelezea wa2 wanakaza ubongo HUYU M2 ANALETA SIASA KWENYE DINI ILI APATE WAFUASI duh ama kweli dini zimekuwa biashara
 
Uambiwe nn mkuu na wakati utajiri wake wote ulishahesabiwa na yy mwenyewr akaaaaprove we endelea kumchukia m2 anayeingiza 20m per week
Siwezi kumchukia mtu anaetafuta pesa, mimi natafuta Kwa nilivyojaaliwa....
 
Huyu Gwajima ni muongo Hana hata aibu kutumia nyumba ya Mungu kudestroy vitoto vidogo ambao tumewaona wanafanya kazi kwa bidii usiku na
Mchana
Du Huyu Ghost ambaye amevaa ngozi ya kondoo
Nilimshtukia tangia issue ya Bashite. Even though sikubaliani na Bashite kudanganya kwenye vyeti Lkn Huyu Gwajima ni no no
Gwajima ni shetani kisio ogopa Mungu .

Sent from my HTC Desire 310 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom