chankele kigoma
Senior Member
- Jan 12, 2017
- 199
- 118
wabongo tutakula maembe ya kuchoma,kwa Sasa huko vitani Hadi 2020 ongeza Vita ya NK shida
Umaskini na njaa kali.
Nchi zote zinazoexport na kuinport kutoka Marekani lazima ziathirike negatively hasa zinazoingiza kutoka Marekani ndo zitaisoma zaidi. Na sisi tunaoetegema donation kutoka nje hali itakuwa ngumu sana.