Oppotunity
Member
- Sep 9, 2013
- 38
- 12
kwa mujibu wa tafiti za kisayansi Sehemu kubwa ya dunia imefunikwa na maji (bahari) huku sehemu ndogo iliyobaki ikiwa nchi kavu..
jua (sun), limeumba kwa mchanganyiko wa gesi mbambali zilizochanganyika na vumbi (dust particles) na kushikiwa pamoja na nguvu ya uvutano. gesi hizi zinafanya chemical reaction ambayo contents (products) zinazopatikana ni raw material ya reactants hivyo basi hii chemical reaction inakuwa automaticaly revesed. reaction inapofanyika kuna energy loss (1) heat enegry joto linalotufikia tukiwa hapa duniani (2) light energy mwanga tunaoupata 2kiwa huku duniani. joto hili linaongezeka kadri siku zinavyokwenda (ipo wazi) coz due to energy loss then jua linapungua ukubwa (diameter) na kuwa dogo zaidi hivyo joto kuongezeka zaidi na kusababisha sehemu kubwa ya barafu duniani kuyeyuka na kina cha maji baharini kuongezeka kwa kasi kubwa na hivyo basi baada ya miaka 25 ijayo dunia yote itafunikwa na maji na kuua viumbe wote isipokuwa kwa wale ambao tnatarajia kuanza maisha mapya sayari ya MAARS
TRUST ME!! siyo nguvu za giza huo ndio ukweli halisi its not a magic or politics although itachukua kama 15 Yrs Ili Kukamilisha Mipango Ya Kuijenga Hiyo Sayari Ili Binadam Waweze Kuishi Comfotably Marekani Imeanza Kutengeneza Super Heavy Sub Marines Kwa Ajili Ya Kunusuru Maisha Ya Binadam Wakati Huo Disaster Itakapoanza Mambo Haya Yanafanyika Kwa Siri Ili Watu Wasi Anze KuPanick Na Kusababisha Amani Kuvunjika.heee! Sijawahi ona mwanasayansi kama wewe anayetumia nguvu za giza!
Eti tuhamie sayari mpya ya mars mbona hii ime PNC yani IMEBUMA.
ila suala la kuongezeka kwa joto hapo miamia mkuu
Usiseme SIKU YA MWISHO, kwani unapozungumzia siku ya mwisho unazungumzia siku ya UNYAKUO na sio MAAFA. Mbali na hapo Mungu hua harudii mapigo, mfano Maji au mafuriko alitumia kpndi cha nuhu. pia moto aliutumia kpnd cha sodoma na gomola. So jpange kama unatetea hoja ksayansi ama kiiman but uc2mie vyote ka pamoja.
kwa mujibu wa tafiti za kisayansi Sehemu kubwa ya dunia imefunikwa na maji (bahari) huku sehemu ndogo iliyobaki ikiwa nchi kavu..
jua (sun), limeumba kwa mchanganyiko wa gesi mbambali zilizochanganyika na vumbi (dust particles) na kushikiwa pamoja na nguvu ya uvutano. gesi hizi zinafanya chemical reaction ambayo contents (products) zinazopatikana ni raw material ya reactants hivyo basi hii chemical reaction inakuwa automaticaly revesed. reaction inapofanyika kuna energy loss (1) heat enegry joto linalotufikia tukiwa hapa duniani (2) light energy mwanga tunaoupata 2kiwa huku duniani. joto hili linaongezeka kadri siku zinavyokwenda (ipo wazi) coz due to energy loss then jua linapungua ukubwa (diameter) na kuwa dogo zaidi hivyo joto kuongezeka zaidi na kusababisha sehemu kubwa ya barafu duniani kuyeyuka na kina cha maji baharini kuongezeka kwa kasi kubwa na hivyo basi baada ya miaka 25 ijayo dunia yote itafunikwa na maji na kuua viumbe wote isipokuwa kwa wale ambao tnatarajia kuanza maisha mapya sayari ya MAARS
Mungu mmemshirikisha?nimeamini maneno yake kwenye surat bakhra alipowaambia malaika ayajuayo yeye hakuna anayeyajua,nobody knows the origin of the universe and nobody will know,inakuaje mmseme mwisho wa dunia,jaribuni kutofautisha theories na uhalisia

Bro naomba nikusahihishe kidogo, kwanza jua halitumii Chemical reaction kama source of its energy bali linatumia nuclear reaction (chemical reactions only involve outer most electrons as nuclear involve the entire atom to its core). Pili yeah jua linapungua size due to loss of mass ila temperature rise ni ndogo sana due to this under a very long time, kuongezeka kwa joto duniani chanzo kikuu ni Global warming na sio jua. Excess CO2 na green house gas zingine zina trap alot of heat letting none escape (kwa hiyo chanzo kikuu cha joto sio jua bali ni G.W na ndo maana inaongelewa sana dunia nzima). Tatu barafu iliyopo ni kubwa sana (the entire Antarctica continent) ambayo according to research it'll take atleast 50 to a century kuyayuka a significant amount na sio 25years unazosema. Nne barafu zote duniani zikiyayuka most coastal region zitakua covered with water yeah, ila sio dunia nzima hata kidogo. Ice zote haziwezi kufurika hata nusu ya land(japo sikumbuki ratio ila nadhan barafu ni kama 1/3 au 1/4 ya entire land mass you might wanna check that though). Fifth kuishi mars ni ndoto kwa sasa, the environment is extreme scientists wanafikiria the possibility of terraforming the place ila hiyo tech ni miaka si chin ya 1000 kuigundua.
Niongeze kua, jua limefikia nusu ya maisha yake (abt 4 bill yrs) miaka bill 5 ijayo fuel itakua exhausted na litaexpand rapidly na kumeza sayari mbili za mbele pamoja na dunia, wakati huo earth will be molten rocks hakuna kiumbe kitakachokua alive. Then jua litapoa na kugeuka white dwarf kama nyota zingine with the same mass zinavokufaga. Na huo ndo utakua mwisho wa dunia *theatrical music*
Nakusahihisha na wewe pia. Jua linaongezeka ukuwa. halipungui ukubwa. It actually gets bigger !!
The sun fuses hydrogen into helium and energy is created as a by product.
As the sun uses up its hydrogen, the reaction rate speeds up slightly. The sun's energy output increases by about 10% every billion years.
That increased energy production means the suns diameter is slowly increasing.
i do agree, jua linaongezeka size no wonder i said after abt 5bil years lita engulf nearby planets! Najaribu kucheck niliposema otherwise(i.e sun is shrinking) sioni au naanza kuzeeka (in my 20's)
Ulisema hivi "yeah jua linapungua size due to loss of mass ila temperature rise ni ndogo sana due to this under a very long time, kuongezeka kwa joto duniani chanzo kikuu ni Global warming na sio jua. "
Kuna contradiction, Kuna researcher walisema lina shrink but recent studies zinaonyesha linaongezeka.
Bro naomba nikusahihishe kidogo, kwanza jua halitumii Chemical reaction kama source of its energy bali linatumia nuclear reaction (chemical reactions only involve outer most electrons as nuclear involve the entire atom to its core). Pili jua linaongezeka size due to loss of mass, and internal reactions ila temperature rise on earth ni ndogo sana due to this under a very long time, kuongezeka kwa joto duniani chanzo kikuu ni Global warming na sio jua. Excess CO2 na green house gas zingine zina trap alot of heat letting none escape (kwa hiyo chanzo kikuu cha joto sio jua bali ni G.W na ndo maana inaongelewa sana dunia nzima). Tatu barafu iliyopo ni kubwa sana (the entire Antarctica continent) ambayo according to research it'll take atleast 50 to a century kuyayuka a significant amount na sio 25years unazosema. Nne barafu zote duniani zikiyayuka most coastal region zitakua covered with water yeah, ila sio dunia nzima hata kidogo. Ice zote haziwezi kufurika hata nusu ya land(japo sikumbuki ratio ila nadhan barafu ni kama 1/3 au 1/4 ya entire land mass you might wanna check that though). Fifth kuishi mars ni ndoto kwa sasa, the environment is extreme scientists wanafikiria the possibility of terraforming the place ila hiyo tech ni miaka si chin ya 1000 kuigundua.
Niongeze kua, jua limefikia nusu ya maisha yake (abt 4 bill yrs) miaka bill 5 ijayo fuel itakua exhausted na litaexpand rapidly na kumeza sayari mbili za mbele pamoja na dunia, wakati huo earth will be molten rocks hakuna kiumbe kitakachokua alive. Then jua litapoa na kugeuka white dwarf kama nyota zingine with the same mass zinavokufaga. Na huo ndo utakua mwisho wa dunia *theatrical music*
Mungu mmemshirikisha?nimeamini maneno yake kwenye surat bakhra alipowaambia malaika ayajuayo yeye hakuna anayeyajua,nobody knows the origin of the universe and nobody will know,inakuaje mmseme mwisho wa dunia,jaribuni kutofautisha theories na uhalisia
Haya sasa Oppotunity njoo ujisomee nondo huku! Japo kaka hapa amesahau kuwa tayari kuna project itaanza kupeleka binaadamu mars kama miaka 25 tu ijayo, watu ambao wako tayari kuacha yote ya dunia na kwenda kuishi maisha mapya mars (japo watakuwa ndani ya mavazi na majumba maalum), mpaka sasa watu zaidi ya laki mbili wameshajitolea na kujiandikisha kwa ajili ya kupelekwa huko pindi awamu ya kwanza itapowadia! Nimesoma sehem kwamba pia kutakuwa na documentary itayokuwa ikionesha moja kwa moja maisha wanayoishi kule mars! Bado sijaelewa kitu interesting kinachowafanya watu kuvutiwa kuhamia kwenye sayari ngumu namna ile! Tukomae na dunia hii bado sana hatujaitumia vya kutosha!