Emu Nisaidieni Hapa.

We jamaa ni boya kweli. Ulishaambiwa ukiona ngedere mjini ujue anafugwa alafu wewe unaparamia tu kiwaki alafu na baya zaidi unaleta wivu. Bora kesho aje tu hapo kazini kwenu aje akuletee pira la kufa mtu
 
Lazima amuheshimu bosi wake kwa sababu ndipo anapokula na kulala na maisha yake yote yako kwa tajiri yake.Cha kufanya,kama umempenda mchukue mkaishi naye kwako ndipo atakuheshimu,tofauti na hapo tafuta majibu mengine ya kumridhisha atakapokuja hapo kazini kwako.
 
poa ila mwanamke ndio kwanza mmekutana hata mwezi hamna tayari mmeshazini mara hapo hamna mwanaume wala mwanamke wote hamna mlilokua mnalitaka zaidi ya kuzini tu
 
Ok,mpaka hapo wewe ni mshindi;akifika kazini,mwambie suluhisho ni kwenda kuishi na wewe.
 
Mkuu mchukue awe beki tatu wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa uandishi huu, kumbe wewe ndio umemrubuni housegirl wa jirani yangu?
Ukamdanganya mtoto wa watu kuwa utamuoa, kaacha kazi. muoaji hakuna. Ninavyomjua huyo binti atakuletea timbwili timbwili mpaka ukome.

Fanya tu umtafutie kazi uliyomuahidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…