Ushauri wako ndio dawa na jibu halisi kwa RedDevil. Asante maana hata mie ningempa jibu hili hili.Mkuu Bihashara huria......angalia makampuni mengine zaidi ya hiyo EMS,Few to name;-FedEX,UPS,DHL
Kati ya hayo niliokutajia mawili nilishayatumia yako serious sana na kazi...hakuna mizinguo kabisa.
RedDevil nafikiri hapa kuna haja ya kuwekana sawa, kwani kama mzigo uko subject to custom duty & vat hapo ni lazima mtumiwa alipe na mara nyingi ni vitu zaidi ya barua. Maana hata customs wanakitengo chao posta kwa ajili ya kuweza kujua ni mzigo gani utozwe kodi kabla ya kuchukuliwa.
Pole mdau, kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake
Ushauri wako ndio dawa na jibu halisi kwa RedDevil. Asante maana hata mie ningempa jibu hili hili.
Mkuu kuna jamaa alikuwa anataka kutuma simu kutoka UK je njia gani hasa rahisi katika hizo kampuni hapo??maana nimesikia hawa DHL wanaiba sana je kuna njia yoyote ambayo anaweza kutuma na mzigo ukafika bila tatizo kabisa??Msaada please kama itawezekana
Hapana DHL hawaibi mkuu, si kweli lakini wako strict kabisa kuhakikisha wanakupitisha TRA usurubiwe. EMS si wabaya kihivyo lakini uzuri wao wanaweza wasikupitishe kwenye suruba za TRA kama uki plea
Asante sana kwa majibu yako nashukuru sana mkuu wangu, sasa hapo bora kutumia njia gani hasa??Na kitu kama simu charge zake zinaweza kuwa ndefu sana??maana kuna thread humu nimeona jamaa wanasema DHL wanachukua mizigo halafu wanasingizia sijui wamemtafuta mpokeaji hajapokea mzigo umepelekwa sijui Customs wenyewe wanaita. Sasa hapa njia rahisi ni ipi??
Tumia posta tu upande wa parcel hakuna tatizo lolote mwaka wa nane sasa natumia njia hii na kila baada ya wiki chache natuma kitu Tz..cost ni ndogo sana toka hapa dubai kilo ni kama tsh 40,000 na inachukua wiki mbili...huko lazima ulipe pesa kidogo ya ushuru
Limit iliyopo ni uzito tu,max ni 30kg..wizi sijui unatokea wapi maana unapotuma mzigo wako unaandika vyote vilivyomo,wengine wanamashaka mizigo yao inapofunguliwa,ni lazima ifunguliwe ili watu wa mapato wathaminishe kodi,binafsi sijawaipoteza mzigoAsante sana mkuu, ila hawa watu wa posta wana limit fulani hivi, maana nawasema parcel ikizidi limit yao huwa hawapendi kusafirisha hasa kwa Africa maana wanapata sana malalamiko watu wanaibiwa...Sasa kwa hapo ushauri gani hasa utakuwamzuri??
Limit iliyopo ni uzito tu,max ni 30kg..wizi sijui unatokea wapi maana unapotuma mzigo wako unaandika vyote vilivyomo,wengine wanamashaka mizigo yao inapofunguliwa,ni lazima ifunguliwe ili watu wa mapato wathaminishe kodi,binafsi sijawaipoteza mzigo
kufunguliwa ni wajibu wa Customs dept kujua kama vinavyoingia ni nlegal na kama havistahili kutozwa ushuru. ukitumiwa laptops au computers hutozwi ushuru. ukitumiwa nguo mtumba utatozwa ushuru. ukitumiwa perfumes utatozwa ushuru. wana discourage uingizaji wa vitu "luxurious"Limit iliyopo ni uzito tu,max ni 30kg..wizi sijui unatokea wapi maana unapotuma mzigo wako unaandika vyote vilivyomo,wengine wanamashaka mizigo yao inapofunguliwa,ni lazima ifunguliwe ili watu wa mapato wathaminishe kodi,binafsi sijawaipoteza mzigo
EMS juzi hapa walinivuruga khaaa nilitumiwa pump ya kukamulia maziwa ya kunyonyesha ilivyoletwa mezani wakaniuliza unajua imenunuliwa kiasi gani nikawaambia nafikiri dolla 100 ..akanijibu mbona hapa imeandikwa usd400 nikamwambia sawa tunafanyaje..ooh unatakiwa ulipe ushuru nikamjibu sawa akaanza kunipigia mahesabu khaa ananiambia kalipe pale laki350000 nilichoka yani ushuru 50%!!hamu ya pump yote iliniisha mmhkufunguliwa ni wajibu wa Customs dept kujua kama vinavyoingia ni nlegal na kama havistahili kutozwa ushuru. ukitumiwa laptops au computers hutozwi ushuru. ukitumiwa nguo mtumba utatozwa ushuru. ukitumiwa perfumes utatozwa ushuru. wana discourage uingizaji wa vitu "luxurious"