no! atakuwa amejisajili kipindi cha post za zaman sio hizi za october ndomana inakataa. so km ni hvyo unatakiwa aweke reference namba alaf click sign in usiselect anythng hapo. profile yako ikifunguka ndani ndo uselect vacancy

Mkuu akiwa aliaply post za zamani ni lazima u retrieve ile reference number ya zamani ndo unaweza kulog in huwezi kulog in bila kuretrieve reference number mkuu
Siku za mwanzoni hyo sehemu ya ku-attach vyeti ilkuwepo, but ilkua na size ndogo (1 MB), badae nkaona wameiondoa. Kwa taarifa utakazo zijaza zinatosha kukuonyesha wewe ni nani, ukibahatika kuitwa vyeti lazima utaambiwa uende navyo!