Employment Opprotunity, TRA; Deadline 20/10/2015


Hivi ni lazima ku attach vyeti maana vinakataa kwamba mb zake kubwa kama unajua tafadhali
 
Hizo tayari zina wenyewe, labda tutimize tu wajibu kuomba

Dah.,, mkuu ukiongea ivyo roho inaniuma sana nakumbuka pale diamond jubilee ile siku watu wanafanya interview bila waswas kumbe maHR ni ndugu zao matokeo yake walipewa kazi inauma lkn ila aina jinsi
 
wakuu hawajamaa wamesema u apply kazi moja ukizidisha wanakudisqualify sasa mimi nime sikusoma maelekezo vizuri nime apply tatu nawezaje cancel mbili
 
Rudia kusoma maelekezo vzr. Kwa case yako ni kwamba utachaguliwa position moja kati ya hizo tatu without consultation!!
 
TRA wanatoa nafasi mara nyingi ila sioni wakiita watu kwenye interview? kuna zile za june hawajaita mpaka leo?
 
Tusikatishane tamaa mimi kuna rafiki yangu aliomba bila kuunganishwa za mwaka jana na alipata

Huyo Rafiki Yako 24/7 Unakuwa Nae Kama Luba? Hapa Mjini Kila Mtu ANACHEZA MICHEZO Yake KIMKAKATI Mno Na Vigumu Kukuweka Wazi.
 
Sizani kama ni lazima kuweka remarks. Nachofahamu remarks ni km ku-comment kuhusu jambo fulani. Kwa mfano pale kwenye SKILLS, unaweza kuweka your levels of Proficiency!!!

Category nyingine pale hazina skills , mfano computer ina skills yake kama microsoft application, communications na accounting hazina na ukizichagua kusave zinagoma hadi uweke skills zake,unafanyaje pale?
 
Msisahau vigezo ni upper second na kuendelea msije kuomba na pass zenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…