Employment opportunity

Employment opportunity

mchumihuru

Member
Joined
May 3, 2015
Posts
6
Reaction score
3
Description
Nafasi za kazi : ASSISTANT RESEACHERS
Taasisi inayo jihusisha na tafiti mbalimbali
za afya, inatangaza nafasi za kazi ya
utafiti. SIFA ZA MWOMBAJI : i. Awe wa
jinsia ya kike. ii. Awe na Shahada ya uchumi. Awe
amewahi kufanya utafiti wa kitaalamu. iii.
Awe na uwezo wa kuwasiliana kwa
ufasaha kwa lugha za Kiswahili na
kiingereza. iv.Awe na afya njema na
mwenye kujituma. v. Awe tayari kufanya
kazi vijijini. MAJUKUMU YA KAZI :
Kufanya tafiti kuhusu afya na tiba katika
wilaya mbalimbali za Tanzania bara.
IDADI YA NAFASI : Nafasi 4.
UTARATIBU WA KUTUMA MAOMBI : .tuma kwa
njia ya barua pepe Djrecruitmentagency@gmail.com
MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI : Mwisho
wa kupokea maombi ni tarehe 20 MEI
2015.
Application Instructions
MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI : Mwisho
wa kupokea maombi ni tarehe 20 MEI
2015.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom