Nyakwec's Bro
JF-Expert Member
- Apr 27, 2012
- 820
- 174
Mwambie aende kwenye ofisi zao mkuu!!!
Huu mchezo unafanywa na masekretari. Barua hazitumwi. mwisho wa siku ionekane hutaki kazi. anapatiwa mwingine. afunge safari hadi ofisini kwao, zinakuwepo copy.
yupo intake ipi? kama Intake ya kwanza aende makao makuu ya PCCB, kama intake ya pili aendelee kusubiri.
Mkuu nashukuru,nimeshamshauri anaogopa wakijua hajaipata inaweza kuprintiwa upya kwa jina tofauti si unajua nchi
yetu ilipofika?..
Mkuu nashukuru,nimeshamshauri anaogopa wakijua hajaipata inaweza kuprintiwa upya kwa jina tofauti si unajua nchi
yetu ilipofika?..
Ni kweli ila hawawezi kufanya hivyo maana ushahidi upo kwenye tangazo!!! Mimi niliitwa kazini na secretariet ya ajira lakn ckupata barua hivyo niliamua kwenda na kuikuta haijatumwa and nobody cares!!!!
Aende tu mbona mjomba angu kapewa jana.
Habari zenu wana JF kuna dogo amepata kazi PCCB lakini hajapata barua ya hiyo ya call for employment ambazo, walisema wangetuma, dogo alitumia sanduku la barua la ofisi sasa imekuwa kero kila siku ananiulizia kama imefika na jana tu tumeangalia haijafika, hivyo nilitakakujua kama kuna mdau ameshapokea hiyo barua ili nimweleze dogo afuatilie kwa nanma nyingine inawezekana alikosea kuandika anwani.
Asanteni sana.
Mkuu nashukuru,nimeshamshauri anaogopa wakijua hajaipata inaweza kuprintiwa upya kwa jina tofauti si unajua nchi
yetu ilipofika?..
Vp huyo dogo kapata barua yake?
Uzi wa zamani! Bila shaka ameshafunga watu wengi kwa rushwa! Kazi za kinoko hiziAmeipata mkuu bila shida,lakini ni copy wakamwambia halisi wameshaituma kwenye sanduku lake la barua itafika tu,na
sasa hivi amesharudi mkoa na hiyo barua yake waliyomtumia kwenye SLP ameipata pia.