Nikupateje
JF-Expert Member
- Dec 22, 2009
- 1,334
- 989
Vipi baba mbona sikuelewi, sasa balance yako ya NSSF itakuwaje confidencial kwa mwajiri wako wakati yeye ndiye anayepeleka hiyo michango huko NSSF. Na kama mwajiri wako ana rekodi nzuri anaweza kujua balance yako hata bila ya kuletewa hiyo statement.
Mimi hucheki balance yangu ya NSSF kutoka kwa mwajiri wangu maana record za NSSF huwa ziko nyuma. Hili sio swala la nyeti bana. Siri siri za nini kwani wewe ni fisadi?

Kumeanza kujitokeza mtindo ambapo NSSF wanatuma statement zao kwa waajiri (employer) ili kuwasambazia waajiriwa wao. Yaani kama mtu anafanya kazi kwenye KAMPUNI B basi NSSF ni kama vile wameshakubaliana na KAMPUNI B kwani NSSF wana list ya majina ya staff wa hiyo KAMPUNI B na hivyo wanatuma kila mwezi statement zinazoonyesha balance yako ya NSSF.
Sijaelewa ni kwa lengo gani japo inaelekea kwamba ni kumrahisishia mchangiaji ambaye ni mwajiriwa kujua balance yake.
Lakini je pamoja na hayo mwajiri ana haki gani ya kujua balance ya mwajiriwa wake? Kwani mwajiriwa ndiye beneficiary wa NSSF na wala si employee.
Pili ni kwamba naamini kuwa NSSF balance au amount ni confidential information. Je, Administration au Human Resource officers wa employer si tayari wanakuwa wameshajua balance yako ya NSSF?
Naomba kusaidiwa ufafanuzi na kujua sheria inayozungumzia hilo.
Pamoja na kuwa Mwajiri ndie anaepeleka michango yote ya waajiriwa wake, account ya NSSF ni ya mwajiriwa binafsi. Hivyo hakuna mtu mwingine yeyote mwenye mamlaka ya kujua siri ya account hiyo.Mwajiri ndiye anayepeleka michango ya kila mwezi ya Mumishi hivyo ni muhimu kujua kama akiba imewekwa vizuri.Na hapa si swala kujua tu kuna mambo ya reconciliation.
Au una ugomvi na HR wako??
Kumeanza kujitokeza mtindo ambapo NSSF wanatuma statement zao kwa waajiri (employer) ili kuwasambazia waajiriwa wao. Yaani kama mtu anafanya kazi kwenye KAMPUNI B basi NSSF ni kama vile wameshakubaliana na KAMPUNI B kwani NSSF wana list ya majina ya staff wa hiyo KAMPUNI B na hivyo wanatuma kila mwezi statement zinazoonyesha balance yako ya NSSF".
Nilisikia NSSF wataweka mashine zao kama ATM za benk, ambazo kila mwanachama atakuwa na kadi itakayo tumika kuangalia balance. Nadhani wakifanya hivyo itasaidia kutopeleka taarifa za wanachama kwa waajiri.