Wewe Kama nani unaniambia? Kama unaona hauna msaada na hii thread kaa mbali...
Vitu vingine muwe mnaacha tu, hizo codes na njia wanatoa wao wenyewe Kuna namna wanavyo faidi baada ya ku activate windows na Microsoft wanafahamu fika windows genuine ni bei mbaya watu hawawezi kuafford na inabidi utambue kwamba wanawalipa watu kutengeneza njia Kama hizi....Sijasema thread yako haina msaada. Nimesema hivi ili kumlinda Melo maana bado ana kesi nyingi mahakamani.
Sasa na Microsoft wakimsweka Kortini kwa kufacilitate hicho unachokifanya utasema nn?
Any way.
Vitu vingine muwe mnaacha tu, hizo codes na njia wanatoa wao wenyewe Kuna namna wanavyo faidi baada ya ku activate windows na Microsoft wanafahamu fika windows genuine ni bei mbaya watu hawawezi kuafford na inabidi utambue kwamba wanawalipa watu kutengeneza njia Kama hizi....
Sawa tusubiri mwenye forum yake afute hii thread!
[emoji16][emoji16][emoji16]
Hii ni social forum kama zilivyozingine kwahiyo kila mtu yupo huru kupost chochote kwa kuzingatia sheria za JF. Zikipostiwa thread za kudukua facebook, Whatsapp, ku-bypass frp na pattern na password unashangilia. Melo mwenye forum hajasema wewe ndiyo useme. Who are you? Ukiona uzi huwezi kuchangia unaachana nao kwasababu haujalazimishwa.JF sio sehemu ya kufanya Floud. Weka hivyo vitu kwenye blog yako na uweke link hapa
Hii ni social forum kama zilivyozingine kwahiyo kila mtu yupo huru kupost chochote kwa kuzingatia sheria za JF. Zikipostiwa thread za kudukua facebook, Whatsapp, ku-bypass frp na pattern na password unashangilia. Melo mwenye forum hajasema wewe ndiyo useme. Who are you? Ukiona uzi huwezi kuchangia unaachana nao kwasababu haujalazimishwa.
Hivyo vitabu vinavyopostiwa kwenye JF STORE mbona haujazungumzia? Kama una PC sidhani hata hiyo window umenunua.
Hili ni jukwaa la tech na siyo jukwaa la Mapenzi na mahusiano.
NYIE WATU WA FACEBOOK MNA MATATIZO SANA. MNAJIFANYA MNAJUA KILA KITU. HILI NI JUKWAA LA TECH
Wewe utakuwa unakazwa na microsoft nyuma.... Sio bureJF sio sehemu ya kufanya Floud. Weka hivyo vitu kwenye blog yako na uweke link hapa
Wewe utakuwa unakazwa na microsoft nyuma.... Sio bure
Microsoft kuna kitu unampa wewe....
Uache mambo ya kike ukiona hivooo.... Unamtag ili ablock acc wafunge tu nimeichoka hiii ID ninazo kama 5 humu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Melo mwenyewe usikute amecopy tayari hizi trick na kuzitumia.Sijasema thread yako haina msaada. Nimesema hivi ili kumlinda Melo maana bado ana kesi nyingi mahakamani.
Sasa na Microsoft wakimsweka Kortini kwa kufacilitate hicho unachokifanya utasema nn?
Any way.
Sijasema thread yako haina msaada. Nimesema hivi ili kumlinda Melo maana bado ana kesi nyingi mahakamani.
Sasa na Microsoft wakimsweka Kortini kwa kufacilitate hicho unachokifanya utasema nn?
Any way.