Anaishi Mbezi ya Goba, pamoja na wadogo zake Ema, Peter na Stevie Nkulila. Nyumba alioijenga yeye na majuzi alikuja kuangalia ujenz unaendeleaje wa ukuta alipokuja Pasaka.
Mkuu hali vp..
Huyu jamaa nampendajeeee??...
Yaan nilikuwa namtafuta kitambo nyimbo zake ila sikuziona hata youtube.
Nimejaribu now kufungua hii link uliyoweka ila naona hazipo, msaada pliiiiiizziiiii...
Anaishi Mbezi ya Goba, pamoja na wadogo zake Ema, Peter na Stevie Nkulila. Nyumba alioijenga yeye na majuzi alikuja kuangalia ujenz unaendeleaje wa ukuta alipokuja Pasaka.
Oooooh no..u giv me hanging ol th time, why do u say that u love me? while I know that u don't .....lol
sijui hata kama nimepatia mana enz izo sijui nko la pili English ziro ful kumung' unya maneno....