MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,171
- 23,991
Kwa sasa ninamuona anaambatana na Rais Magufuli kama mmoja wa wafanyakazi wa Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu!
Haijawekwa katika tangazo rasmi na Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu lakini inavyoonekana kwa sasa siyo mwajiriwa wa ITV bali ni mwajiriwa wa Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu.
Kwa waliofuatilia kampeni za Uchaguzi Mkuu 2015 na mahusiano yake ya karibu na Rais Magufuli kabla hajateuliwa kuwa mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, nadhani hawawezi kushangaa kusikia ameachana na ITV na sasa yuko Ikulu.
Kama ninayosema ni sahihi, ninampongeza kwa kupata kazi Ikulu.
Kazi yake haikuwa rahisi wakati wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu 2015. Kuna kundi la watu hawakupenda style ya kazi yake huku wengine wakidhani anafanya upendeleo kwa kuripoti habari za Mgombea wa CCM kwa bashasha na kinyume cha maadili ya kazi yake!
Wengine walidiriki kuleta thread hii,