Kuna kitabu cha '90 minutes at Entebe'' kinaeleza safari nzima na jinsi walivyokoa matekwa.
Hapo utamkuta Gen Moshi Dayan aliyekuwa na heshima sana, alipokubali mpango mission ikafanyika. Wakati wakiingia Entebbe Dayan alikuwa anakula story na Amin akiwa angani eneo la Afrika Mshariki.
Nakumbuka Chairman Mao Tse tung alikuwa hatoki China. Gharama zake ikawa ni China iliyojitenga na dunia (reclusive)..ilikuwa vigumu sana kwa SG kutembelea mataifa mengine.
..ziara nyingi, kama siyo zote, zilikuwa zikifanywa na Andrei Gromicko.
..sasa mimi najiuliza kama hiki kinachoendelea ktk awamu hii ni mfano wa jinsi hali ilivyokuwa wakati wa Brezhnev, Andropov, au Chernenko?
..suala lingine ni hadhi na nafasi ya Tanzania ktk medani ya diplomasia na mahusiano ya kimataifa. We have always punched above our weight.
..Nina wasiwasi tunaweza tukaporomoka kama tutaendelea na utaratibu huu, na ikiwa Raisi wetu atakosa lugha na hoja zenye ushawishi huko nje.
Cc Nguruvi3
Mkuu hii si ni fursa ya kuelimisha wenye tatizo kwanini hali imekuwa hivi.
Hayo uliyoandika hayahusiani na mada wala hayajibu mada , kufafanua au vinginevyo. Yanonyesha utupu wa hoja na hivyo mashudu yanaweza kujazia
Historia ya mtu kwanza
Huwezi kujibu hoja ya mtu bila yakuangalia msimamo wake,
Mtu mwenye msimamo wa kila kizuri serikalini kwake ni kibaya,
Na kibaya kimoja kwake ndio hoja kuu Kisiasa huyo utamjibu hoja ipi?
Kutokusafiri kwa Rais Magu hakukufanyi upate hoja ya maana kujitambia jf
Kama hakuna hoja mtulie tu,
Waziri mkuu yupo
Makamu wa Rais yupo
Sio lazima Aende Rais.
Kama katiba inapinga waziri mkuu kushiriki vikao vya kimataifa
Ikiwa rais yupo
Mkazane kukuza hoja yenu kisiasa
Vinginevyo
Mna ongeza Pumba kwenye Dishi la Mashudu
Kwani alienda Rwanda au Ethiopia?Ni kwa sababu kilichomleta Afrika hakipo TanZania, amekwenda Uganda kwa sababu Baba yake alikuwa moja ya mateka waliouliwa Entebe wakati Wayahudi walipochukuliwa mateka, amekwenda Kenya kwa sababu ya mambo ya usalama na mambo ya Al Shabab ambapo Israeli inataka kuizuia Kenya silaha ili ipambane na Ugaidi na isitoshe Raisi Uhuru Kenya alimualika alipokuwa huko Israeli, amekwenda Rwanda kwa sababu wana makubaliano na Serikali ya Rwanda kurudisha wakimbizi wa kiafrika waliokuwa Israeli, Israeli haiwataki hivyo wamekubaliana au wana mpango wa kukubaliana na Rwanda iwachukuwe halafu Israeli itailipa Rwanda fedha, sasa ulitaka aje TanZania kufanya nini?
Au ulifikiri Wazungu ni Waafrika wanajiendea tu kila mahali? Labda nikuulize kulikuwa na ulazima gani wa Raisi Uhuru Kenya kwenda Uganda wkt Netanyahu alikuwa anakuja Kenya kesho yake tu?
Hapo ndipo unakosea. Ukisoma bandiko kwa kuangalia nani kaandika na si hoja unakosa ile maana ya hoja.Historia ya mtu kwanza
Huwezi kujibu hoja ya mtu bila yakuangalia msimamo wake,
Mtu mwenye msimamo wa kila kizuri serikalini kwake ni kibaya,
Na kibaya kimoja kwake ndio hoja kuu Kisiasa huyo utamjibu hoja ipi?
Kutokusafiri kwa Rais Magu hakukufanyi upate hoja ya maana kujitambia jf
Kama hakuna hoja mtulie tu,
Waziri mkuu yupo
Makamu wa Rais yupo
Sio lazima Aende Rais.
Kama katiba inapinga waziri mkuu kushiriki vikao vya kimataifa
Ikiwa rais yupo
Mkazane kukuza hoja yenu kisiasa
Vinginevyo
Mna ongeza Pumba kwenye Dishi la Mashudu
Hizi huwa ni hoja za kutaka kuondoa watukatika mijadala.JK alikuwa anasemwa hapa kama kawaida, Nyerere kila siku n.k.