Namba ya gari ni T 489 ASC
Road license yake imeisha mwezi jana tarehe 27.
Picha ya gari hapa chini
tembelea mikopo finance limited kwa mikopo yote ya dharura, au piga namba 0714 726 910Habari zenu wana jf, naenda moja kwa moja kwa mada mana nko haraka kiasi, Ok nina shida ya million moja na nitarudisha ndani ya miezi miwili yani mwezi wa kwanza nusu then wa pili namaliza hata kama ni kwa riba. Dhamana yangu ni gari caldina new model. With thanks Ni pm ama nicheck kwa 0713968649
Thanks kwa ushauri wenu,
Ninaweza kukukopesha. Nichek kwenye inbox yangu