Emci cleaning services

Emci cleaning services

kidadaa

Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
80
Reaction score
50
Je unahitaji usafi wa nyumba yako?, Ofisi yako?
Emci Cleaning services ipo kwa ajili yako.

Tuite tukufanyie usafi kwa gharama nafuu kabisa.

Tunasafisha masofa yote ya kitambaa na ya ngozi kwa gharama nafuuna tunatumia machine za kisasa.
Carpet nazo tunasafisha.

Tupigie 0716084733
Tunafanya kazi siku zote za wiki

Mazingira masafi kwa afya bora
 
Mbona simu yenu,haipo hewani,viti set moja bei,! Viti vya vitambaa
 
Mbona simu yenu,haipo hewani,viti set moja bei,! Viti vya vitambaa

Tupo hewani ndugu. Sofa set kubwa ya makochi matano bei ni 180,000/=
Ile ndogo bei ni 130,00/=

Karibu sana
 
Mh maji marefu! Ukisafisha mara 3 ,4 unakaribia kununua mpya ! mimi nilifikiri ina range kwa 40! kuna matu alikuwa anafanya hivyo sasa hayupo mjini,all the best!
Tupo hewani ndugu. Sofa set kubwa ya makochi matano bei ni 180,000/=
Ile ndogo bei ni 130,00/=

Karibu sana
 
Endelea kumsubiri mwaya akija kasafishe kwake. 40 anasugulia stilwaya nini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom