Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,814
hujui kwa nini kafanyan hivi!Mods, please rekebisha sio kuva, ni kufa!
Pichani, Baada ya kuwepo kwa tishio la kutokea vita vya kumng'oa madarakani dikteta Yahaya Jameh, baadhi ya wananchi wameanza kuayikimbia makazi yao na kuhama kwenye mji mkuu.
Kinachonikwaza ni huyu boya aliyebeba na makochi yake kama vile anahamia mtaa wa pili.
Linapotokea suala la vita, mtua anachotakiwa kuokoa ni roho yake tu! Sasa huyu wa makochi sijui naye kala maharagwe ya wapi vile!
usifikiri huyo ni mjinga. nchi ya gambia ni ndogo sana iko sambamba kwa pande zote na mto gambia kwa kilometa chache. kwenda senegal huenda ni sawa na kutoka kariakoo kwenda kibaha. jamaa anatumaini jameh anaweza salimu amri bila hata risasi moja kupigwa halafu arudishe sofa zake salama ndani.Mods, please rekebisha sio kuva, ni kufa!
Pichani, Baada ya kuwepo kwa tishio la kutokea vita vya kumng'oa madarakani dikteta Yahaya Jameh, baadhi ya wananchi wameanza kuayikimbia makazi yao na kuhama kwenye mji mkuu.
Kinachonikwaza ni huyu boya aliyebeba na makochi yake kama vile anahamia mtaa wa pili.
Linapotokea suala la vita, mtua anachotakiwa kuokoa ni roho yake tu! Sasa huyu wa makochi sijui naye kala maharagwe ya wapi vile!
mkuu wao kaamua kumwaga damuEe mungu wasaidie Gambia
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Du makochi makali hata mie siyaachi bora nife nayo.
God has already left Africa...Ee mungu wasaidie Gambia
Benz Lina rangi ya bendera ya Taifa. Tanzania oyee