Nashukuru kwa jibu zuri. Vipi na Bongo zinapatikana? Au ndiyo mpaka kuagiza huko Amazon?Mkuu hii Mitambo hadi Milion 12 (Usd $5,000)
Nyingine zaidi ya hapo inategemeana ina Head ngapi.
Unajiamini sana mkuu hongera. Wengi huwa hawasemiMkuu hii Mitambo hadi Milion 12 (Usd $5,000)
Nyingine zaidi ya hapo inategemeana ina Head ngapi.
Bila shaka ni wale wenye akili za kimaskini pekee ndiyo hufanya hivyo.Unajiamini sana mkuu hongera. Wengi huwa hawasemi