Embe la Kunyonya......(Embe Nyonyo...)

Nacheka kwaa dharaaaau... Hahaha... Asiyejua maana haambiwi maana... Wacha nifunge mdomo wangu...
 
Hao hawakufuata sherehe, ila ndio baadhi ya wanaume wakija kwenye sherehe wakiona mwanamke kaja peke yake basi akili hazichelewi kuwaruka na kusahau kilichowapeleka.
Unajuaje kama kikichowapeleka ndicho hicho cha kumtafuta mdada au wadada walio single?

Hivyo sio wote wanaosahau kilichowapeleka.
 
najuta kupoteza muda wangu kusoma hapa vitu vingine wekeni Chit Chat huko ndo kuna husika na mambo za hivi aargghh
nonsense
 
Usiwashangae hao jamaa kula embe mnyonyo washangae wenye sherehe kuweka maembe mnyonyo. Ina maana waliona yafaa kuwepo na kunyonywa kwnye sherehe.
Mkuu kuwa mstaarabu basi........ivi unapataje nguvu za kuquote thread ndefu kiasi hiki???......unaboa[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Binafsi nimekuelwa kiutu uzima and msg delivered.
 
Uzi mreeeeeeeeefu kisa maembe ya kunyonya tu sasa hapo cha ajabu nini,,
 
Aiseh umejua kutusumbua kusoma hii pombelism yako
 
we mkali,Shigongo cha mtoto. umetisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…