Ahahahaaa Waroho watakuja mbio subiri uone hapo watakapokutana na wasichokitarajia
[embe dodo
Mkuu mshana jr naomba unibembelezee huyu Invisible Moderator na mods wengine wanipe jina au namba la hili embe dodo. Huku mie dhooflihal huku
Huyu mrembo hapa 👇👇👇 unahisi ni nani? Si wa humu humu au 😇😇😇😟😷😎😎😎
View attachment 259622
Hahahahaaaaaaa 😂😂😂😂😂😂😂 picha tu umedata loh....!!!
Usijali nimeshafikisha taarifa kunakohusika
'Cul no p' in my tune
Kuangalia embe dodo?
Hahahahaaaaaaa kama utanunua lakini
Hizo sisi tunanywea chai
Mhhh watu kwa vituko! Sasa hicho kikombe cha bei mbaya umekitoa wapi wewe?
Nime import mkuu, vyatoka Korea