Wadau asanteni kwa maoni na ushauri, nimefanikiwa kuitwa kwa mchujo mwingine round ya 3, baada ya ule wa test ya english, oral interview now natakiwa kwenda kwa excel tests , pls wenye utaalamu na excel na any advice pls karibu sana