Embassy 3rd round

Embassy 3rd round

gobraco

Member
Joined
Jul 2, 2014
Posts
54
Reaction score
22
Wadau asanteni kwa maoni na ushauri, nimefanikiwa kuitwa kwa mchujo mwingine round ya 3, baada ya ule wa test ya english, oral interview now natakiwa kwenda kwa excel tests , pls wenye utaalamu na excel na any advice pls karibu sana

asanten
 
me nakuombea tu mkuu...make sure unachukua kazi haraka iwezekanavyo!!
 
hey na mm nmeitwa kwny english test naomba unipe hint test yao inakuaje ...please
thnks in adnce

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom