Pundamilia07
JF-Expert Member
- Oct 29, 2007
- 1,439
- 58
Recta
Wapinzani wangeibaje kura wakati wizi unategemea kushirikishwa Polisi, Jeshi na NEC? Kutokana na mfumo uliopo, Polisi, Jeshi na NEC wako upande mmoja na CCM. Ni juzi juzi tu maofisa wote wa ngazi za juu wa vyombo vya ulinzi na usalama walikuwa wanatakiwa kuwa wana CCM.
Kwani vyama vya upinzani Zambia na Kenya ni tofauti sana na vya kwetu? Mbona vimeshinda?
Swala la msingi kwa Recta na wengine hapa ni hili: Mtasemaje CCM haibi kura na huku mnakubali iliba ushindi Zanzibar 1995?
Kuiba kura ni mbinu kubwa inayotumika. Mfano, kwenye kesi ya uchaguzi ilioletwa na mwana CCM dhidi ya Slaa, ulitolewa ushahidi kwamba CCM ilimshinikiza Returning Officer afute takwimu zilizokuweko na atangaze nyingine.
Mbinu iliyotumika Pemba na Zanzibar 1995 ni hiyo hiyo. Mkulu wa wakati ile alifuta takwimu zilizokuweko na akampa mtangazaji takwimu nyingne akamwambia atangaze "hizo"
Huko Rombo ulikokutaja, kuna kijiji kimoja ambapo masanduku yenye kura yalipotea mpaka saa 8 usiku, na yalipohesabiwa kura zake zikawa ni za CCM karibu zote.
Pamoja na wizi, kuna kutumia vyombo vya usalama kuwanyanyasa sana wapinzani. Polisi wanatumika kwenye hatua za vitu kama kuwakataza wapinzani wasifanye mikutano! Kwani wewe hujashuhudia hayo?
Suala la msingi ni wapinzani kuja na agenda za ushindi pasi na shaka, wananchi ndiyo wanaoamua ni nani apewe kiti
Si vyema tufanye mabadiliko ambayo yatakuja kutugharimu mara kadhaa ya hali iliyopo sasa.
Ukweli ni kwamba hawa akina Mrema, na wengine huishia mjinii tuu huko vijijini hawajulikani
KwaMinchi is spot on. Hatujaendela kwa sababu tumekosa siasa safi na uongozi bora. Ili tuendelee, lazima tubadilishe siasa na viongozi waliopo ambao ni wa CCM. Nasema hawawezi! Wamejaribu miaka 47 bila kuweza!
Pundamlia07
Mbona JK alishinda bila kuja na ajenda yoyote? Amedai ana ajenda inayohitaji mawaziri 60, lakini wewe na mimi tunajua hiyo ni danganya toto.
Pundamilia07
Hali iliyopo sasa haivumiliki. It is not possible to sink lower because there is no lower. Tukiiweka CCM benchi lazima wananchi watapata nafuu. Ni kama ilivyotokea Kenya walipoiweka KANU benchi, na Zambia walipoiweka UNIP upinzani.
SaidSabke
Uchaguzi mkuu uliopita hukuona Mbowe akienda vijijini lakini CCM ikatumia Polisi kumnyima haki yake? Kuna mahali hata Mkuu wa Wilaya alidiriki kukataza helikopta ya Mbowe kutua! Hiyo ni dhambi ya mauti!
Ni kweli CCM kuna nguvu fulani, lakini ni nguvu za kutumia mabavu. Yako mali mengi ya umma ambayo CCM imeshikilia kwa nguvu. Hata viwanja kama Kirumba CCM inadai ni mali yake! Yako maegesho ya magari usiku yanayolindwa na Polisi wa serikali, na CCM inatoza kodi kana kwamba hao Polisi ni wake!
Kuna wakati CCM ilijitengea malipo makubwa toka serikalini, na waliponung'unika watu Kawawa akadai ni consultancy fee!
CCM ilitumia SUKITA kuchota mafedha chungu nzima ya wananchi. Hadi leo waliokuwa viongozi wa SUKITA bado wanakula tu hayo mapesa, na hakuna anayethubutu kuhoji.
Nguvu za CCM katika uchaguzi mkuu uliopita zilitokana na fedha za wizi za EPA. That is a well known secret. Walitumia fedha hizo kuhonga wananchi kanga, vitenge n.k.
Kuna wakati wanachama wa CCM toka Mwanza waliokuwa wakienda mkutano mkuu wa uchaguzi wa viongozi wao Dodoma walishushwa Tabora kwa amri ya kiongozi mwandamizi wa serikali. Hizi ni nguvu za mabavu.
Sasa kama tunazungumzia nguvu za mabavu, basi hata mkoloni alikuwa na nguvu sana. Lakini alisalimu amri. Siku yaja, na haiko mbali, CCM itasalimu amri vile vile.
What does it feel like to have elections that are widely hailed as being democratic? We wouldnt know since we havent had anything like that in Tanzania.
International Observers at the 1995 general elections are on record as saying that they witnessed irregularities that they hadnt seen anywhere else in the world! Many Tanzanians felt that CUF won those elections handsomely on the Isles, and that Mrema beat Mkapa in the Presidential elections!
So, the 1995 general elections satisfied neither our citizens nor international observers!
Most of us were satisfied that the 2000 general elections were won by Mkapa, but once again, many cases of intrigue and manipulation were observed. There were stories of widespread rigging that was carried out by national security organs, with the blessing of the NEC (National Electoral Commission).
It is interesting to note that in places like Bariadi, the very prominent candidate there, Cheyo (alias Mapesa), did not even get credited with his families ballots. That is how bad the rigging was!
The recent election case that pitied Dr. Slaa against some CCM loser was instructive. It brought to the fore how NEC officials are directly used by some parties to alter election results.
The recently held by-elections in Musoma and Mbeya are nothing to be proud of. We heard of cases of actual fights using bush knives in Musoma. In Mbeya, no more than 35% of the registered voters bothered to show up! The reason was that Judge Makame found himself some silly excuse that enabled him to bar the peoples choice. The main winner in the Mbeya by-election was none other than Judge Lewis Makame.
The Electoral Commission bears much blame. It seems to work for one particular party. It is designed to be under the ruling party. The head of the NEC is appointed by the leader of the ruling party. That is manifestly wrong. The entire commission ought to be formed by parliament and be answerable only to parliament.
We envy countries like Ghana where elections are internationally acknowledged as being democratic. We need to review the NEC and the appropriate laws before the next general elections