Go to Facebook setting and set primary address to your email au nenda tu kwenye settings alafu add email then go to notification then select your email...
Katika notification mojawapo iliyoingia katika e-mail nenda chini ya ujumbe halafu tafuta mahali wameandika unsubscribe yaani jiondoe halafu click na ukubaliane na maelekezo utakuwa umejiondoa kwenye kutumiwa hizo notifications.