Kama mada inavyojieleza hapo, kwa wae ambao bado ni watumiaji wa barua pepe za Yahoo naona leo mtandao huo umegoma kabisa kufunguka...nimeona hili tatizo kwa watu kama wanne hapa ofisini.
Wajuzi wa haya mambo tufahamisheni wapi kuna tatizo

Nimethibitisha kwamba Yahoo Mail ina matatizo, haifunguki. Lakini hili limenifirikisha, hivi siku mnakosana na jamaa si watakuzimia mawasiliano? Taarifa za wagonjwa katika hospitali zetu zinatumia mawasiliano ya Google. Siku ya siku tutajikuta wagonjwa wetu wanagugumia vitandani kwa vile hao jamaa wametufungia. Wenzetu wameshaliona hilo na wapo mbioni kujonasua na kadhia huyo.