System/standard ya email haina uwezo wa kuona kama imefunguliwa, kwa kifupi ni kama barua za karatasi wewe unatuma ila hauna control ukishatuma na hakuna central system ambayo ina control kama WhatsApp/Meta/FB kuna njia zinatumika kujaribu kulizunguka hili ila zinahitaji ushirikiano wa mpokeaji.