Em looking for e human to marry me.

Bado Kijana

New Member
Joined
Feb 28, 2014
Posts
2
Reaction score
0
AM 24 YEARS OLD END AM LOOKING FOR E BEAUTIFULL MAMA OR LADY TO MARRY ME.WHAT MATTERS IS REAL LOVE END TRUTH TO EACH OTHER.ANY ONE INTRESTED CALL MY NO.+255719029016 MY EMAIL ADRESS IS Tmaiko79@yahoo.Com.Pliz Em Waiting.
 
unatafuta manzi kwa internet? ondoka kule nje uwapate mengi...
 
Minataka Niolewe Kweli.

ukiolewa usilalae na kufuli...marehemu sheh nazi alikuwa ana waowa viana ma cute.mwisho wasiku anawatia vidole na kuwataftia mabwanaa so kuwa muangalifu.
 
Ukisikia maajabu ya musa ndo haya yaani baada ya kuwaza kitabu usome wewe unawaza kuolewa tena na jimama?

Kweli dunia imekwisha
 
Ukisikia maajabu ya musa ndo haya yaani baada ya kuwaza kitabu usome wewe unawaza kuolewa tena na jimama?

Kweli dunia imekwisha

Mambo ya Globalization...kila mtu anataka shortcut,asome ili iweje... Hahahah
 
ndugu yang tunakokwenda sasa ni kule kusema dunia imekwisha maana maajabu haya yanashangaza sana
anaona kusoma si dili kumbe atakuja kuachwa na huyo mtu ndo atatafuta shuka ajifunike wakati kumeshakucha
Mambo ya Globalization...kila mtu anataka shortcut,asome ili iweje... Hahahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…