Elmura Phone Repair Iphone & Samsung

Elmura Phone Repair Iphone & Samsung

Joined
Dec 4, 2013
Posts
49
Reaction score
33
Iphone Service & Repair
Display (lcd), Charging System, Speaker, Mic & battery problems
We are Selling battery , Charger and LCD for Affordable Price.
Dar es Salaam
New Posta , Azikiwe Street
Mavuno house Building 1floor Room 104

Call 0715798947 0756798947
Follow
@elmurasolutionsltd
@elmurasolutionsltd
@elmurasolutionsltd
IMG_2442.JPG
 
Daah kuna 5s hapa inashida ya boot loop.. Hata ukiweka kwa ota inadownload inafika sehemu inakata..
Nini inaweza kuwa shida?
 
LCD og ya S8+ mnauzaje pamoja na kuiweka?
 
Nokia lumia 801 imekufa display na touch kwa kuanguka vipi mnaimudu?
 
Nna Iphon 6s pluss inatatizo la kutachi ishawekwa kioo kipya bado aitachi garama zake zinakuwaje mkuu
 
Samsung Galaxy J7 2015.touch na display vilikufa baada a kuidondosha.N kias an inagharimu kubadili kioo cha amoled dispaly
 
Duh kweli umedhamiria kupiga kazi
Safi

Ova
 
Mzee mwenzangu nokia 5 imekufa speaker, sisikilizi mziki, siongei kwa loudspeaker, simu ikiingia ni mwendo wa vibrations tu.

Gharama kiasi gani!?
 
Iphone 6 plus, ilidondoka kwenye maji ikiwa on baada ya hapo haijawahi kuwaka tena hata baada ya kuweka kwenye mchele kwa siku 4

Mwongozo tafadhari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom