Kweli hapo unasema wapo elites na wadanganyika wakawepo kwenye hali hii inayoonekana.elite class ya Tanzania ni watu wasiozidi elfu hamsini na ndio wafaidika wakuu wa keki ya taifa
Wameshika nyanja zote za uchumi na kitovu chake kikuu ni kamati kuu ya chama cha mapinduzi...
Kundi lako kwani sio lililotajwa la elite 🤭Mwingine maskini Kama Mimi aje kijiweni tuiseme serikali
Si mchezoHiyo ni kawaida Kimaisha tu....na hii imeanzia huko mbinguni...Maserafi na Makerubi siyo wa kuchezewa au kuhojiwa na malaika wa kawaida....shetani alikuwa miongoni mwa Malaika lkn alijifanya kuhoji uhalali wa hili.....
Asalam AleykumHapa huu ujumbe ni wa nani Kwa mfano,unatakiwa ueleweke [emoji205]
We jamaa umenifrahisha sana [emoji23][emoji23][emoji23] ulivoongea kama kuna ukweli ndani yake... lakini haitakiwi kuwa hivoHiyo ni kawaida Kimaisha tu....na hii imeanzia huko mbinguni...Maserafi na Makerubi siyo wa kuchezewa au kuhojiwa na malaika wa kawaida....shetani alikuwa miongoni mwa Malaika lkn alijifanya kuhoji uhalali wa hili....
Aisee[emoji16][emoji16][emoji16]Mwingine maskini Kama Mimi aje kijiweni tuiseme serikali
Wakina sykes walipigania uhuru lakini wajukuu zao wanaunga unga maisha ...hii si hoja.Hiyo ni kawaida Kimaisha tu....na hii imeanzia huko mbinguni...Maserafi na Makerubi siyo wa kuchezewa au kuhojiwa na malaika wa kawaida....shetani alikuwa miongoni mwa Malaika lkn alijifanya kuhoji uhalali wa hili...
Typical african mindset ya ubinafsi. unaangalia tumbo lako tu wengine watajijuaChamuhimu nina sehemu ya kukaa, nakula nachotaka, naenda nakotaka[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] tosha sana hiii
Typical african mindset ya ubinafsi. unaangalia tumbo lako tu wengine watajijua
Tafuta Hela kijana! Acha kabisa kujivunia umaskini! Umasikini ni zaidi ya laana! Shauri yako.Mwingine maskini Kama Mimi aje kijiweni tuiseme serikali
Matatizo yote tuliyonayo waafrika yalianzia na mindset km zako. Ndio maana kuna watu walidiriki kuwauza ndugu zao utumwani.Nao si waangalie yao. Kwanini niangalie matumbo ya wengine wakati kila mtu analake?
Hawakuwa makini ktk kupigania uhuru.....hao walifuata mkumbo tu.. Saana ukichunguza walikuwa wanafiki km kina kambona...mtu km huyo hawezi kuwa miongoni mwao Ma- elites....hiyo moja...Wakina sykes walipigania uhuru lakini wajukuu zao wanaunga unga maisha ...hii si hoja.