M MFARIJI MALEKELA New Member Joined Oct 2, 2015 Posts 4 Reaction score 0 Oct 2, 2015 #1 jamani naitwa mfariji malekela napatikana makambako nilimaliza kidato cha nne mwaka 2012 nakupata ufaulu wa dvsion 4 point 29 yaan masomo ya sayanc nilipata d pamoja na Kiswahili englsh na cvc naombeni ushaur nijiunge na chuo gani plz
jamani naitwa mfariji malekela napatikana makambako nilimaliza kidato cha nne mwaka 2012 nakupata ufaulu wa dvsion 4 point 29 yaan masomo ya sayanc nilipata d pamoja na Kiswahili englsh na cvc naombeni ushaur nijiunge na chuo gani plz
A akilikubwa JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 590 Reaction score 108 Oct 2, 2015 #2 Wewe kwanza unapenda kusoma nini?