Kwa madiwani, bado ni Elimu ndogo sana!, inatakiwa fom six yenye skills za uchambuzi wamikataba, planning, n.kKutokana na watu wenye elimu nchini kwetu kuzidi kuingezeka nashauri kwa diwani elimu iwe angalau Form six, mbunge angalau degree moja na Rais angalau Masters. Mnaionaje hii?
Elimu si kigezo cha kuongoza vizuri.
Kwani Kikwetee hakuwa msomi??? Kafanya nini zaidi ya kuchekacheka tu????
Elimu si kigezo cha kuongoza vizuri.
Kwani Kikwetee hakuwa msomi??? Kafanya nini zaidi ya kuchekacheka tu????